Kiagta cha Umiray

Kiagta ya Umiray ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiagta ya Umiray imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Umiray iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search